Kerwin - the Poem   KISWAHILI

 

English

Dutch

Turkish

Arabic

Papiamento

Sranan

Bahasa-Indonesia

French

Flemish

German

Italian

Sicilian

Danish

Swedish

Norwegian

Finnish

Faroese

Kiswahili

Mandinka

Somali

Zulu

Afrikaans

Czech

Serbian / Croatian

Hungarian

Russian

Esperanto

Romanian

Bengali

Urdu

Malayalam

Divehi

Kannada

 

Kerwin
 
* Wakati baadhi yao- wanawawinda ili wawauwe baadhi yenu, wengine wanafanya sherehe wapate jambo la kufanya.
* Ingawaje wanawafanya nyinyi muwe wa kwanza kufa, kwa sababu ya ukongwe wa ukabila wa kidachi sote tunajua ni uwongo.
* Hata kama ingekuwa ni kweli, je! ingeleta mabadiliko? mlio wa shilingi za kidachi ndio sauti ya minyororo.
* Minyororo waliotumia kuwafunga waafrica na baadhi ya maajabu walizobadilisha kupata hadithi ili wajiheshimu.
* Mungu anajua majina ni mengi yaliyoandikwa hata hat hakuna nafasi iliyowazi ya kujazwa majina ya waliowakosea na wale wasiojilikana waliowauwa.
* Ee ulaya, kamba zenu kamba zenu katika shingo za watu wangu. Baada ya kuchukua na kufanya yote mnatarajia nini?
Ndiyo!!! wamekuja kwa nini waione almasi zao zikipeperuka katika anga zenu kwa ajili yetu sisi masikini ni hadithi za kale za siku za gizani, kila mara kumekuwa ni pahali pa kwenda na kufa.                                                                                   
 
Kerwin.
* Nimwafrika wa kwanza kufika Marekani kama mtumwa. Aliachwa kwenye biashara kutika kwa mdachi wa kivita.
* Kerwin, kitu gani kinachokutofautisha wewe na makabili mengine yaliyo kufa kwako kwa ukabila. ni kitu ambacho hawawezi kukataa.
* Dao la damu katika kiti cha taksi lilimaanisha ni muhimu kuliko maisha yako. Hiyo ni sababu iliyokufanya ulale kwenye barabara ulipojeruhiwa na kile kisu.
* Wanapoamua mmoja lzima afe. Ndio wakati damu inatiririka ilitulazimu tujiulize nani atakayefuata baadaye kati yetu.
* Kumbuka rafiki zako wa karibu, waliokuwa hawakuonekana kama wewe ambao hawakuhudumia kama vile wengi wao wanavyofanya.
* Rafiki ni rafiki wala sio rangi ya ngozi. Njia ya kuwa kama hivi, chuki haziwezi kuwa na uhusiano na hivi ndivyo ukabila unavyoingia. 
Ukabila ni kitu kimoja tunachojifunza katika Historia ambacho kimeleta madhara kuliko ugonjwa wowote ule. watu huishi na kufa hiyo ni kawaida lakini isiwe sababu eti wewe ni mweusi. 
 
Kerwin:
Wewe si wa kwanza. Tunataka uwe wa mwisho. Tunataka ubaguzi umalizike. Na inatulazimu tufanye mara moja.                                                                    
* Kerwin:- Hakuna anayeamini Kerwin hakuamini kama angekuwa hai, angeamini. Lakini hakuamini ukabila, uhuru wa kutoongea, ukatili wa Adolf  Hitler, au ubwanyenye wa ki Amsterdam.
* Hakuna anayeamini kuwa kuna kitu kinachoitwa ubaguzi. kila mara kwao ni kitu kingine kabisa, si kwa sababu ya rangi ya ngozi yako, wanasema ni kwa sababu ya vile wanavyojichukulia.
* Nani anayejua sababu zinazo wafanya waendeleze ukabila. Hilo ni jambo ambalo hakuna anayeamini hata kama mwafrika atalala akifa barabarani, hakuna atakayeamini.
* Funga macho usione ubaguzi wa rangi wala usitafute sababu, hakuna mtu anayeamini kitu hiki ni kweli. Kerwin hakuamini kwa nini wewe uamini? Basi ongeza kwa nini yeye hakuamini. Hakuna mtu anayeamini ubaguzi upo kama vile hawakuwaamini wa Vietnam kutafuta suluhisho waishi kwa amani. Hawakuamini waafrika watakuwa huru baada ya karne nne za mateso.
* Kerwin hakuamini _ Hawakuamini kama sisi nasi tuna haki ya kuvuta hewa. Hakuna anayeamini kwamba ubaguzi upo kwani watu ni watu wako na haki ya kuwa na raha na uhuru _ raha na uhuru.
* Hakuna anayeamini vile ilivyo na itakuwa hivyo. Na hakuna anayeamini kuna uwezekano mtu kutoamini. Hakuna anayeamini hata kidogo yale macho yao yanayoweza kuona kutoweko na haki, upotevu, upotofu wa ubinadamu wao hawawezi kuamini _ wao hawawezi kuamini.
* Vitisho ni vya kawaida, kawaida, vya kawaida na vya zamani visivyoandikwa. _ Vitisho hivyo vya kawaida, watu wanaamini ni vizuri, hata kwa umwagikaji wa damu.
 
 
Translated by Mr Mohamed Shee

Listen

 

Learn
  about the KiSwahili lanuage

 

nothing  is more important than stopping fascism because fascism will stop us all