| English
Dutch
Turkish
Arabic
Papiamento
Sranan
Bahasa-Indonesia
French
Flemish
German
Italian
Sicilian
Danish
Swedish
Norwegian
Finnish
Faroese
Kiswahili
Mandinka
Somali
Zulu
Afrikaans
Czech
Serbian / Croatian
Hungarian
Russian
Esperanto
Romanian
Bengali
Urdu
Malayalam
Divehi
Kannada
|
- Kerwin
-
- *
Wakati baadhi yao- wanawawinda ili wawauwe baadhi yenu, wengine
wanafanya sherehe wapate jambo la kufanya.
- *
Ingawaje wanawafanya nyinyi muwe wa kwanza kufa, kwa sababu ya ukongwe
wa ukabila wa kidachi sote tunajua ni uwongo.
- *
Hata kama ingekuwa ni kweli, je! ingeleta mabadiliko? mlio wa shilingi
za kidachi ndio sauti ya minyororo.
- *
Minyororo waliotumia kuwafunga waafrica na baadhi ya maajabu
walizobadilisha kupata hadithi ili wajiheshimu.
- *
Mungu anajua majina ni mengi yaliyoandikwa hata hat hakuna nafasi
iliyowazi ya kujazwa majina ya waliowakosea na wale wasiojilikana
waliowauwa.
- *
Ee ulaya, kamba zenu kamba zenu katika shingo za watu wangu. Baada ya
kuchukua na kufanya yote mnatarajia nini?
- Ndiyo!!!
wamekuja kwa nini waione almasi zao zikipeperuka katika anga zenu kwa
ajili yetu sisi masikini ni hadithi za kale za siku za gizani, kila
mara kumekuwa ni pahali pa kwenda na kufa.
-
- Kerwin.
- *
Nimwafrika wa kwanza kufika Marekani kama mtumwa. Aliachwa kwenye
biashara kutika kwa mdachi wa kivita.
- *
Kerwin, kitu gani kinachokutofautisha wewe na makabili mengine yaliyo
kufa kwako kwa ukabila. ni kitu ambacho hawawezi kukataa.
- *
Dao la damu katika kiti cha taksi lilimaanisha ni muhimu kuliko maisha
yako. Hiyo ni sababu iliyokufanya ulale kwenye barabara ulipojeruhiwa
na kile kisu.
- *
Wanapoamua mmoja lzima afe. Ndio wakati damu inatiririka ilitulazimu
tujiulize nani atakayefuata baadaye kati yetu.
- *
Kumbuka rafiki zako wa karibu, waliokuwa hawakuonekana kama wewe ambao
hawakuhudumia kama vile wengi wao wanavyofanya.
- *
Rafiki ni rafiki wala sio rangi ya ngozi. Njia ya kuwa kama hivi,
chuki haziwezi kuwa na uhusiano na hivi ndivyo ukabila unavyoingia.
- Ukabila
ni kitu kimoja tunachojifunza katika Historia ambacho kimeleta madhara
kuliko ugonjwa wowote ule. watu huishi na kufa hiyo ni kawaida lakini
isiwe sababu eti wewe ni mweusi.
-
- Kerwin:
- Wewe
si wa kwanza. Tunataka uwe wa mwisho. Tunataka ubaguzi umalizike. Na
inatulazimu tufanye mara moja.
- *
Kerwin:- Hakuna anayeamini Kerwin hakuamini kama angekuwa hai,
angeamini. Lakini hakuamini ukabila, uhuru wa kutoongea, ukatili wa
Adolf Hitler, au
ubwanyenye wa ki Amsterdam.
- *
Hakuna anayeamini kuwa kuna kitu kinachoitwa ubaguzi. kila mara kwao
ni kitu kingine kabisa, si kwa sababu ya rangi ya ngozi yako, wanasema
ni kwa sababu ya vile wanavyojichukulia.
- *
Nani anayejua sababu zinazo wafanya waendeleze ukabila. Hilo ni jambo
ambalo hakuna anayeamini hata kama mwafrika atalala akifa barabarani,
hakuna atakayeamini.
- *
Funga macho usione ubaguzi wa rangi wala usitafute sababu, hakuna mtu
anayeamini kitu hiki ni kweli. Kerwin hakuamini kwa nini wewe uamini?
Basi ongeza kwa nini yeye hakuamini. Hakuna mtu anayeamini ubaguzi upo
kama vile hawakuwaamini wa Vietnam kutafuta suluhisho waishi kwa
amani. Hawakuamini waafrika watakuwa huru baada ya karne nne za
mateso.
- *
Kerwin hakuamini _ Hawakuamini kama sisi nasi tuna haki ya kuvuta
hewa. Hakuna anayeamini kwamba ubaguzi upo kwani watu ni watu wako na
haki ya kuwa na raha na uhuru _ raha na uhuru.
- *
Hakuna anayeamini vile ilivyo na itakuwa hivyo. Na hakuna anayeamini
kuna uwezekano mtu kutoamini. Hakuna anayeamini hata kidogo yale macho
yao yanayoweza kuona kutoweko na haki, upotevu, upotofu wa ubinadamu
wao hawawezi kuamini _ wao hawawezi kuamini.
- *
Vitisho ni vya kawaida, kawaida, vya kawaida na vya zamani
visivyoandikwa. _ Vitisho hivyo vya kawaida, watu wanaamini ni vizuri,
hata kwa umwagikaji wa damu.
-
-
- Translated
by Mr Mohamed Shee
|
Listen

- Learn
- about the KiSwahili lanuage

|